Author Archives: admin

05 Nov
0

USHAURI; Wakati Sahihi Kwa Biashara Kuchukua Mkopo Ili Uwe Na Manufaa.

Author: Dr. Makirita Amani Wafanyabiashara walio wengi wamekuwa wanachukua mikopo ya kibiashara kwa wakati usio sahihi kitu kinachopelekea biashara zao kufa. Wale wenye imani haba kufikiri kwamba mikopo ina tatizo fulani, kitu wasichoelewa ni kwamba tatizo halipo kwenye mikopo, bali ...

Read More
05 Nov
0

Huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa na maarufu bila kukopa

From MWANANCHI Kumbuka huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa na maarufu bila kukopa. Kama unaogopa kukopa basi sahau ndoto ya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Hiyo ni nukuu ya Reginald Mengi, mfanyabiashara mashuhuri aliyefariki juzi. Kama ilivyo maana ya mkopo kwa tafsiri rahisi ni ...

Read More