05 Nov
0

Huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa na maarufu bila kukopa

From MWANANCHI Kumbuka huwezi kuwa mfanyabiashara mkubwa na maarufu bila kukopa. Kama unaogopa kukopa basi sahau ndoto ya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Hiyo ni nukuu ya Reginald Mengi, mfanyabiashara mashuhuri aliyefariki juzi. Kama ilivyo maana ya mkopo kwa tafsiri rahisi ni ...

Read More