Wanachama wote wa mapambazuko Saccos Ltd mnatangaziwa kuwa mkutano mkuu wa mwaka uliotarajiwa kufanyika tarehe 14.10.2022 katika ukumbi wa Masia Hall Tabata Segerea, umeahirishwa kwa sababu zilizo njee ya uwezo wetu hadi tarehe 06.11.2022 utapofanyika katika ukumbi huo wa Masia Hall uliopo Tabata Segerea kuanzia saa 03:00 asubuhi.