Kutuhusu

UTANGULIZI

Mapambazuko Saccos

Mapambazuko Saccos ni Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha msingi kinachojumuisha Wafanyakazi wa Makampuni ya AGL,AMI,EALS,EACS wa ngazi zote, Taasisi ya umma au binafsi ili mradi tu awe tayari kufaidika na huduma na kufuata sheria,kanuni na masharti ya Mapambazuko Saccos Ltd.

Lengu kuu

Lengo kuu la kuanzishwa kwa Mapambazuko Savings and Credit Cooerative Society Limited ni Kuwawezesha wanachama wake kuwa na mahali salama wanapoweza kupamiliki ambapo wataweka akiba zao na kupeana mikopo ya aina mbalimbali kwa masharti na riba nafuu kadri watakvyojipangia wenyewe.

Pia kuwawezesha wanachama kujenga tabia ya kujiwekea akiba ya fedha mara kwa mara,kukopa kwa busara na kulipa mikopo kwa wakati uliopangwa hivyo kuwajengea utajirisho pamoja na nidhamu ya fedha.

TUPE MAONI

Miaka 23 ya kukupa huduma bora kabisa

Kwa miaka yote hii, dhamira yetu imebaki ile ile: Kuwawezesha wajasiriamali kuota, kukua, na kustawi.

Tunashukuru kwa kutuamini!

Miaka 23 ya Mapambazuko Saccos

Kwa miaka 23, tumekuwa bega kwa bega na wajasiriamali wa Kitanzania, tukitoa mikopo yenye masharti nafuu na huduma bora zinazowawezesha kukuza ndoto zao za kibiashara.

01

Tumewahudumia maelfu ya wajasiriamali katika sekta mbalimbali — kutoka biashara ndogo ndogo hadi za kati.

02

Tumeshuhudia ndoto zikigeuka kuwa biashara zenye mafanikio makubwa.

03

Tumeshuhudia ndoto zikigeuka kuwa biashara zenye mafanikio makubwa.