Mikopo ya Vikundi

Mikopo ya vikundi itatolewa kwa wanachama waliojiunga katika vikundi vya watu watano watano kutoka center Fulani.Center moja inaweza kuwa na vikundi vingi vya watu watano watano kwa kadri itakavyowezekana.

  • Center itakuwa na uongozi kamili yaani mwenyekiti,makamu mwenyekiti,katibu na katibu msaidizi,mhazini na mhazini msaidizi.
  • Kikundi cha watu watano kitakuwa na mwenyekiti na katibu wake na lazima kidhaminiwe na uongozi wa center.
  • Mwanachama aliyeko kwenye kikundi atapata huduma zote kupitia kwenye kikundi chake.
  • Mwanachama anaweza kuhiari kuhamia kikundi kingine alimradi amekubalika kwenye kikundi  anachotaka kuhamia.