MKOPO WA DHARURA

Mkopo wa Dharura ni suluhisho la haraka kwa mahitaji ya kifedha yasiyotarajiwa. Tunakusaidia kupata fedha kwa muda mfupi ili kukabiliana na changamoto za ghafla bila kusababisha athari kubwa kwa maisha au biashara yako.

Kiwango cha juu shs. 3,000,000/=

Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..

Muda wa juu wa marejesho ni miezi 12

Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..