
MKOPO WA ELIMU
Mkopo wa Elimu umetengenezwa mahsusi kusaidia wanafunzi, wazazi na walezi kugharamia mahitaji muhimu ya masomo kwa wakati muafaka. Tunakuwezesha kufikia ndoto za kielimu bila wasiwasi wa kifedha!
Kiwango cha juu shs. 3,000,000/=
Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..
Muda wa juu wa marejesho ni miezi 12
Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..
