• J3 - Ijumaa 9:00 - 16:00
  • Tabata , Opp.Mwananchi Communication LTD

MKOPO WA MAENDELEO

MKOPO WA MAENDELEO

Mkopo wa Maendeleo ni huduma maalum inayolenga kuwasaidia wajasiriamali, wafanyabiashara na vikundi vya kijamii kufanikisha malengo yao ya kupanua, kuimarisha au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi

Kiwango cha juu shs. 50,000,000/=

Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..

Muda wa juu wa marejesho ni miezi 36

Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..