• J3 - Ijumaa 9:00 - 16:00
  • Tabata , Opp.Mwananchi Communication LTD

MKOPO WA PAPO KWA PAPO

MKOPO WA PAPO KWA PAPO

Mkopo wa Papo kwa Papo ni huduma ya kifedha inayokuwezesha kupata fedha mara moja bila kuchelewa, kwa ajili ya mahitaji ya haraka. Tunatoa huduma hii kwa uwazi, kasi na kwa masharti mepesi.

Kiwango cha juu shs. 200,000/=

Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..

Muda wa juu wa marejesho mwezi 1

Vigezo na masharti kuzingatiwa, soma zaidi hapa..