“Mkopo huu ulinisaidia kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda. Sasa najipatia kipato cha uhakika kila siku. Nawapeni pongezi kwa huduma bora.”